Mwanamke mwenye tattoo

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
4,320
Reaction score
6,686
Kuna mwanamke ana tattoo kwenye ziwa ,nampenda na natamani awe mke wangu,lkn nikiwaza ule mtatoo siku nikimpeleka kumtambulisha kwa ndugu zangu wakaiona ile tattoo si itakuwa taflani?
hivi nyie wanawake mna nini?
huu utamaduni wa kishenzi mmeuiga wa nini?ni lazima uwe na hayo ma alama ya shetani?
haya sasa nakukosa hivi hivi sababu ya ushenzi wako..
 
Upo dunia gani mzee tatoo kwani inashida gani?
 
Dunia ya sasa imebadilika tattoo haina ususiano na hisia za mapenzi, ww mwenyewe haushi maisha ya utamaduni wakabila lako kila unachovaa kinatoka nchi za huko unapolalamikia alaf unalalamikia tattoo au ww hapo hujaona ilo nalo unatakiwa ujadili na halmashaur ya kichwa chako ... Alaf post yako na maneno yako hayaelewek mara unampenda mara unamponda

Baki njia kuuujulikane wap unaenda
 
Chura kama anayo sio tatizo kama hana uamuzi kichwani kwako tattoo ya kwenye papuchi ndio mtihani
 
Mkuu... ukimpenda mwenye chongo, utaliona ni kama kengeza.
Na unapo taka kuoa jaribu kumtazama unaetaka kumuoa in a positive way, and by the way.... Wewe ulitaka kumuoa huyo mdada ama ulitaka kuioa hiyo tatoo ya huyo mdada...!!??
 
Ukiona huyo hakufai kwa sababu ya hilo li tattoo lake, tafuta mwingine ambaye hana. Mbona wanawake wazuri na wenye sifa za kuolewa wapo wengi sana!
 
QUOTE="LUBEDE, post: 32927897, member: 141496"]
Kuna mwanamke ana tattoo kwenye ziwa ,nampenda na natamani awe mke wangu,lkn nikiwaza ule mtatoo siku nikimpeleka kumtambulisha kwa ndugu zangu wakaiona ile tattoo si itakuwa taflani?
hivi nyie wanawake mna nini?
huu utamaduni wa kishenzi mmeuiga wa nini?ni lazima uwe na hayo ma alama ya shetani?
haya sasa nakukosa hivi hivi sababu ya ushenzi wako..
[/QUOTE
kwani uyo gal ako anatembea uchi? au ndo wale wanabust titi wanalitembeza njia nzima kila mtu anaona...mana umesema ipo kwenye ziwa.
 
tatoo picha tuu blaza,,, vuta zigo hilo ulimiliki.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…