Mwanamke mwenye vijiti mkononi anaweza pata mimba ?

tagamwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
342
Reaction score
236
Habari
Nina rafiki wa kike ambaye aliweka vijiti viwili vya kuzuia mimba mwaka jana,
Sasa juzi amesema hajaziona siku zake na ana wasi wasi kuwa ana ujazito
Je hili suala linawezekana kweli ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanza imekuaje ameweka viwili? kutokuona siku zake sio lazima iwe dalili ya mimba yawezekana ni kitu kingne pia.

Na tunaposema njia za uzazi wa mpango zinazuia mimba sio 100℅ so ni vyema akapima.
 
Kwa nini viwili? Kawaida ni kimoja tu.. Na ukiweka kile kijiti kinatengeneza ute mzito kwenye uterus ambapo husababisha mwanamke kutokupata siku zake ...
 
Nimesikia uwa wanawake adi vitatu na inarusiwa kitaalam

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Habari
Nina rafiki wa kike ambaye aliweka vijiti viwili vya kuzuia mimba mwaka jana,
Sasa juzi amesema hajaziona siku zake na ana wasi wasi kuwa ana ujazito
Je hili suala linawezekana kweli ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokupata hedhi ni mojawapo ya maudhi madogo madogo ya hiyo njia ya uzaz wa mpango ....ila kama mda wote huo alikuwa anaziona siku zake ila sasa hiv hazion si vibaya akaenda kupima kipimo cha mimba kujiridhisha zaid maana muda wenyewe wa hivyo vijiti kukaa humo maximum ni 3 yrs
Inawezekana.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana...na anaweza akatoa halaf akapata tabu kushika mimba vilevile
 
kwanza imekuaje ameweka viwili? kutokuona siku zake sio lazima iwe dalili ya mimba yawezekana ni kitu kingne pia.

Na tunaposema njia za uzazi wa mpango zinazuia mimba sio 100℅ so ni vyema akapima.
Vipo kwa kuweka kimoja, na vya kuweka viwili, so ni kawaida, vinatofautiana.

Tumshauri tu akapime mimba maana hakuna namna, japo kukosa kuona siku zake sababu ni nyingi sio mimba tu
Kwa nini viwili? Kawaida ni kimoja tu.. Na ukiweka kile kijiti kinatengeneza ute mzito kwenye uterus ambapo husababisha mwanamke kutokupata siku zake ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…