Mwanamke mwolewaji huyu hapa!

Zote can be acted hata kwa miaka miwili!

Mwanamke/mwanaume muolewaji/muoaji ni yule mnayeweza kupatana kila mnapotofautiana, ni yule anayecompliment mapungufu yako na yule unayeona mkizeeshana pamoja!
 
kumbe ndio maana ananifanyia hivyo vitu nshajua sasa..
 

Hili ndio tatizo....
 

:nono::nono" I don't think I am ready for that 2 quality more specific ya # 13, No please, I don't want to count chickens before are hatched.


Thanks for the guidelines, my question is kama unatafuta mwanamke mwenye qualities hizo, you better have them for yourselves. Otherwise don't look for the perfectionist while you're not its gonna backfire later!
 
kama mimi lazima nitataka kuonja kidogo kabla ya kuvuta kitu ndani nisije uziwa mbuzi kwenye gunia.
 
mwanamke anaweza ku act yote uliyoyaandika hapa kabla hujamwoa ili kubembeleza ndoa,akishaingia ndani utajua kuwa umeoa mchina,

mtu kama kongosho kashasoma hii atashindwa kuact kwa jamaa yake huyo?
 
Kwa dunia hii ya leo unaweza zeeka bila kupata mwenye hizo sifa zote.
 
We profesa. . .kwani kuolewa kunatakiwa kuishie mara ya ngapi?

dah..hapo umenikamata!!.. Ila kwa wazungu kuolewa ni zaidi ya mara nyingi.. Kwa africans maximum ni 3 times.. Kwanza dini zetu walizotuletea haziruhusu ku-merry and re-merry..
 
aakh,wapi!kama sitoolewa ni poa tu ila nguo za mwanaume sifui na wala simpikii kabla ya ndoa.labda aje kwngu akute nimepika ndo ale km mgen yeyote yule,ila hizo mambo mengine atafanyiwa mume ndani sio mpnz.nikimpikia,kumfulia na kumpendezesha thn akaoa mwingne?aku,sithubutu,tena wanaume wenyewe wa siku hizi na mapenzi ya dot com!hizo nyngine zinakopika mbona?usiwadanganye wenzio wataingia mkenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…