Mwanamke mwolewaji huyu hapa!

dah..hapo umenikamata!!.. Ila kwa wazungu kuolewa ni zaidi ya mara nyingi.. Kwa africans maximum ni 3 times.. Kwanza dini zetu walizotuletea haziruhusu ku-merry and re-merry..

Hahaha. .
Profesa mie mzungu mweusi. . .Ntare-marry kadiri ya uhitaji wangu.
 
Msione hatari kukaa bench>>>God has a plan and a reason for all that you are undergoing...Believe me the right time has not yet come...hata sisi tunajiuliza tutaoa lini maana madem wanatupiga bench but iko cku
 
Mhh wengine hatuaoa qnn nifuge kuku ilhali naweza kulas nyama na mayai pasina kufuga. Nenda zako na vigezo vyako.
 
kweli!!! wanawake ni nyoka!!!wanabadilika kulingana na majini yalivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…