Mwanamke na Nyumba

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
43,242
Reaction score
60,939

Pamoja na hali ngumu ya mafuta lakini nawakumbusha madada msisahamu mambo muhimu ya kupamba nyumba.

Attachments

• Mwanamke na Nyumba picha.jpg
4.2 KB · Views: 112
Hivi hizo hapo kiunoni kazi yake nini?Halafu unaposema nyumba kumbe unamaanisha "hiyo"kumbe ndo nyumba!Nilikuwa sijui!

huyu binti lazima ni mchawi, ona alivyojiviringisha majoka kiunoni?

mbona kiuno hakijaonyesha kama kipo? Sijaona kama ana mjengo wa maana wa kutufanya tutofautishe kiuto na wowowo!

Wewe mamndenyi haya mambo kule kwetu hayapo umeyapata wapi??

bujibuji bana,.....uchawi gani sasa huo
halafu bijibuji, ni kam nimona umeuliza swali kuwa siku hzi hoini wakivaa hizo za kiunoni ni weweeee, ngoja niitafute ile post

halafu bijibuji, ni kam nimona umeuliza swali kuwa siku hzi hoini wakivaa hizo za kiunoni ni weweeee, ngoja niitafute ile post

ni bujibuji nimeona swali lake.

Wewe mamndenyi haya mambo kule kwetu hayapo umeyapata wapi??

Dunia mpya bana, tena mjitahidi msije sema watu hawana nguvu za kiume/kike kumbe dawa ipo.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…