Well mimi ni mwanaume Umri 28
Mfanyakazi Kampuni binafsi
Makazi Dar-Mbezi kimara
Elimu Bachelor degree (Bsc)
Mrefu wastani
Maji ya kunde
Natafuta msichana mwenye Sifa zifuatazo:
Mcheshi
Mcha Mungu
Elimu ngazi kuanzia diploma
Awe anakipato na kujitegemea
Awe tayari kuwa mama watoto siku zijazo
Awe mwenye kuvutia,mrefu wastani,
Msafi na anajua nini maana ya Mwanaume
Think outside the box
Open mind
Mchaga highly preferred
Nipo serious
........
Karibu mama watoto