Mwanamke ni dhahabu.

MTUNZA AMANI

Senior Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
187
Reaction score
21
Hi,kwa kutambua umuhumu wa mwanamke kama mfariji,mlezi,mshauri na mama,natafuta msichana mwenye umri kati ya miaka 20-26, Awe mkristo,mweye umbile la kati ili awe mke wangu,mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 27 ninasoma chuo kikuu UDSM mwaka wa mwisho,namuhidi kumpa zawadi ya upend wangu wa dhati,nitamtunza na kumpendezesha,please aliye tayari tuwasiliane kwa email :smasilu@yahoo.com
 
Maliza chuo, ukishapata kazi nitafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…