STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Wewe ni mke wa mme mmoja tu,ingawa mpaka sasa
umepitia mikono ya wanaume sabini,kila mmoja
amepiga kinanda kwa style yake,wengine wamepiga
flati wee,ukawavumilia lakini wakavurunda,uka
watimua ukaajiri mpigaji mwingine lakini nae huna
furaha nae...Usikate tamaa ipo siku Kinanda kitaguswa na mtu na utajua tu huyo ndo atakuwa
mpigaji wako wa milele.Using'ang'anie Mpigaji
anayegonga-gonga Flati kwa sababu tu ana
mwonekano mzuri,au anapiga kinanda kwa
Swagger,kinachotakiwa ni Kinanda kipigwe vizuri na
wimbo utoke wa kuvutia,kama ana swagger na kupiga flati mtimue,ni heri kinanda kispigwe kuliko
mpigaji kupiga flati japo anaonekana kama mpigaji
mzuri kumbe sio.Usipoelewa soma tena.Poleni
mliopata wapiga kinanda kutoka VETA,flati kwenda
mbele.Kwa hisani ya watu wa Marekani!