Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Habari za majukumu leo nimeamka mapema sana kuja kuwapa angalau mawili matatu kwa ajili yenu,..
Mwanamke asiejikubali mwenyewe hata mimi wa kando siwezi kumkubali.
Wako wanawake wazuri ila na wabaya wapo tena wapo kibao na ndio hao ambao hawajiamini mpaka wachukue masaa kibao kwenye kioo.
Ukitaka kujua kwamba mwanamke huyu ni nzuri au ni mbaya,.. Ikiwa umeshazoweana nae ..siku ya kwanza kukutana nae mpe taarifa nakuja kwako.
Hapo utakuta kameshaenda kuazima dressing table nyumbani kwa jirani (kwa shoga ake kanaanza kujiremba).
Ukifika utaanza kumsifia baby umependeza sana, na yeye bila hata aibu kinaitikia tu ahasante kwa vitu vya kuazima,.. Hapo ni baada ya taarifa. Jiandae kwenda bila taarifa.
Ukifika tu ghafla mmekutanisha nyuso zenu,.. Atakutupia mawalama ya kufa mtu kana kwamba kakuomba umnunulie chupi hujanunua kwanini hujampa taarifa anaweza hata kukuchukia,.. Kumbe anakimbia hayaaaa...