Unataka usitishe?kumbe nakuharibu huku kukudekeza nimegundua hili
hata wewe ulivyosema si wajibu wa mwanaume kupika ilikuwa Maoni yako tu, ambayo ni POTOFU.Wewe wasema.. hujakosea kabisa ulivyoanza sentensi yako.
[emoji276] [emoji276]kumbe unajua kupika, kwa kweli pampas zitahusu.
itabidi wewe ndo uwe mpishi wetu manake sipendi kupika na hakuna ubaya ikiwa kazi yako, INFWACT it's AWESOME!
[emoji276] [emoji276]hata wewe ulivyosema si wajibu wa mwanaume kupika ilikuwa Maoni yako tu, ambayo ni POTOFU.
anapumzika baada ya siku au week nzima ya kutafuta chakula mlepindi nampikia yeye anafanya nini labda?
ndo ninakoelekea maana nakudekeza sana hadi kuna mtu atoto alikuonea wivu hajui nipo for uuuuuuuuuUnataka usitishe?
mhhhh mke hatafuti chakula mimi ndo natafuta hata neno linasema hivyo nitapika endapo unaumwa basianapumzika baada ya siku au week nzima ya kutafuta chakula mle
hah, kama mkeo ni mama wa nyumbani hii topic hata isingeanzishwa. kumbe ana kazi gani nyingine zaidi ya kupika!!!!mhhhh mke hatafuti chakula mimi ndo natafuta hata neno linasema hivyo
Hapo ndipo kosa lilipo. Mlipo muhusisha mwanamke kwenye kutafuta chakula wakati ni kazi ya mwanaume, sasa na kupika mwanaume inambidi apike. Tena mwanaume anasema kabisa kuwa hataki mwanamke goal keeper.mhhhh mke hatafuti chakula mimi ndo natafuta hata neno linasema hivyo nitapika endapo unaumwa basi
hawana HAYA dadaangu.Hapo ndipo kosa lilipo. Mlipo muhusisha mwanamke kwenye kutafuta chakula wakati ni kazi ya mwanaume, sasa na kupika mwanaume inambidi apike. Tena mwanaume anasema kabisa kuwa hataki mwanamke goal keeper.
Ukifika mda wako wa kuolewa naomba usisahau kunipa kadi ya mchango please![emoji1]hata akioa LAZIMA apikie mkewe na wanawe
Teh hawabebekihawana HAYA dadaangu.
siku hizi kuhudumia mwanamke ni KERO kubwa sana kwao, utawasikia "mwanamke anayetaka hela ni kupiga na kusepa".
Tumeamua kuwasaidia sasa wasiwe na shida tutajihudumia wenyewe, sasa wakati natafuta hela wewe pikia wanetu, NAYO HAWATAKI. Eti hujui majukumu yako. Mvivu. na kila jina.
Yani MIZIGO on fleek.
U talkin' bou me? BE A MAN and say it straight to the face (or in this case, QUOTE)somebody got some personal issues in here [emoji40][emoji40][emoji40]
kwani harusi yetu lini eti!!Ukifika mda wa kuolewa naomba usisahau kunipa kadi ya mchango please![emoji1]
Who is wife material???[emoji32][emoji32][emoji32].....you???[emoji32]kwani harusi yetu lini eti!!
hunioni wife material unaringa ringa NITABEBWAAA ooohh