Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
a na b yote sawa..Nusu uchi ndani ya nyumba au barabarani?!
W'end inaanza alhamisi ee!
Wakati wowote ni wakati wa chai!!!!
Kama unajali kwa nini usiku unawasha taa wakati ni wakati wa giza???!!!
Wakati wowote ni wakati wa chai!!!!
Kama unajali kwa nini usiku unawasha taa wakati ni wakati wa giza???!!!
No apanaa wanaanda Nguruwe wa christmasii!!Kweli mods mmelala au mmeenda kuhiji??
Hupitwi!!!!
Kupitwa sifa ya mzembe!!!!!
Haya mkuu!
Mkuu??? !!!
Yes sir!