Mwanamke ni nywele!!!

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,926
Reaction score
95,626
[emoji1]
 
Attachments

  • 1471231595938.jpg
    55.6 KB · Views: 177
  • 1471231606077.jpg
    58.8 KB · Views: 195
  • 1471231623310.jpg
    34.4 KB · Views: 165
  • 1471231643866.jpg
    57.6 KB · Views: 173
  • 1471231680089.jpg
    46.2 KB · Views: 164
Ngoj waje

Sent using Jamii Forums mobile app from my Andoid phone
 
nilisoma article moja eti kila mtu ana nwele ndefu hata blacks sio wazungu tu . kweli nikaanza kufuga nywele zangu nina miezi sita sasa nabana kitunguu.ngoja tuone miaka mitatu inshalah nitakuwa wapi
 
Wengi tunapenda kwa namna tofauti,wengi hili wengine hili,,,,lakin siamin kama kuna anayependa ujinga na kutokujiongeza kwa akina dada,,,

Kama yupo aje nimpe simu yangu hii/ nywele ndefu nazo kawaida hata mbuzi jike wana-ndevu !!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilisoma article moja eti kila mtu ana nwele ndefu hata blacks sio wazungu tu . kweli nikaanza kufuga nywele zangu nina miezi sita sasa nabana kitunguu.ngoja tuone miaka mitatu inshalah nitakuwa wapi
Nasubiri mrejesho baada ya miaka 3
 
nilisoma article moja eti kila mtu ana nwele ndefu hata blacks sio wazungu tu . kweli nikaanza kufuga nywele zangu nina miezi sita sasa nabana kitunguu.ngoja tuone miaka mitatu inshalah nitakuwa wapi
hahaha ,nywele ni asil tu mim zangu ni kipil pil kilichojishindilia ila hiyo miez sita nabana kabisa. ila sina interest na nywele nilifuga zikawa ndefu sana ukiziona utataman ziwe zako, now menyoa nina mwez hiv
 
nilisoma article moja eti kila mtu ana nwele ndefu hata blacks sio wazungu tu . kweli nikaanza kufuga nywele zangu nina miezi sita sasa nabana kitunguu.ngoja tuone miaka mitatu inshalah nitakuwa wapi

ni natural au!mie nywele yngu ina shukran ila mvivu jaman kukaa chin kusuka! nataman nirudishe natural yangu ila sasa kimbebe kusuka!
 
Umeonaeee mwanamke vuzi bwana wee
 
Hiyo papuchi inabidi mtu aje na fyekeo kabisa maana kipilipili kimevicha kila kona nahisi saivi ni kichaka [emoji23] [emoji23] [emoji23]
na akifanya masihara kichwa cha chini kitakuwa na chale za kutosha. maana kipili pili cha chini kigumu kama stil waya
 
Nywele za asili ziko laini, ziko live, hio hizi dada zetu wanavaa za makatani ngumu kama kamba za kudu, sasa utakuta mdada anavyozungusha kichwa kama ng'ombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…