Yohana1995
Member
- Mar 23, 2022
- 7
- 11
Guys mambo vipi, mimi nipo kwenye mahusiano na mdada ambaye amenizidi elimu yaani yeye ana bachela ya mambo ya elimu lakini mimi ni form 4 tu and tuna mpango wa kuja kuoana je kutakuwa na mapnzi ya dhati kweli hapo japo mimi nampenda for real?