Shida hapo itakuwa ww mwanaume u copy tabia ya mke wako ila ukitaka yy acopy tabia zako itakuwa shida. Women are arrogant naturally wanavyoongea,act na body wearing styles(outfits). Wanatabia ya kufananisha muonekano wa mavazi ya mtu fulani na wewe uwe hivyo hivyo mfano kutupia suti na pamba kali sasa ukute ww mwenzangu mm wa mitumba sana itakuwa shida. Kwenye disagrees wewe itakulazima ua agrees mda wote na dalili kubwa ya kutaka kukuacha atakapoanza kuongea kwa codeswitchea mbalimbali mfano you know ww ni vile mgumu kuelewa(it means you're illiterate) nimekuzoea kwa ubishi wake(it means once a fool always a fool) sitaki kubishana na wewe(it means you can't tell anything). Mwanamke ni mgeni wa maisha ya hapa duniani na kuku mgeni hakosi kamba mguuni na kamba ya mwanamke ni ulimbukeni.
Ila watakuchukulia sana poa na papuchi ya mke wako otherwise asiku expose kwa coworkers wenzake.
Ikumbukwe tu the end justifies means watakuibia na kukuchukulia poa ila kamba itakapotoka mguuni uta enjoy ndoa yako. Na yy atakuja kujua kuwa ww ndie jig saw fit wake huko amerika alienda tu kwa slow drifting na bing bang stori itakuwa imeishia hapo