KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Sep 16, 2024 #2 halafu wanataka 50/50.. na mwanamke akikuazima hata 50 jua utakuja kulipa 100!. by the way tusilalamike sana kila kitu kinachangamoto zake hata sisi tunazinguaga vitu vyengine vingi tu..
halafu wanataka 50/50.. na mwanamke akikuazima hata 50 jua utakuja kulipa 100!. by the way tusilalamike sana kila kitu kinachangamoto zake hata sisi tunazinguaga vitu vyengine vingi tu..