Tomito Tomato
Senior Member
- Feb 11, 2017
- 167
- 444
Mwanamke raia wa Burundi wa kabila la Kihutu aitwae Jesca amempa wiki moja msanii wa muziki maarufu nchini Tanzania Diamond platinumz siku mbili awe amepeleka pesa za matunzo na watoto wake mapacha aliozaa nae mwaka 2013 la sivyo hizo siku zikipita tu ataweka hadharani video clips zote za jinsi walivyokuwa wakiponda raha katika hoteli mbalimbali hapa Tanzania.
Kilichomkera zaidi huyu mwanadada mrembo Jesca hasa ni kitendo cha kusikia mzazi mwenzie huyo kuzidi kuwapa ujauzito wanawake wengine huku hao alionao tu hawalei. Jesca amesema kwamba tangia amzalie Diamond platinumz hao watoto mapacha mwaka 2013 hadi leo hii hajaona hata senti moja yake lakini hivi majuzi alimsikia mzazi mwenzie huyo akijitapa kuwa yuko tayari kulea mtoto yoyote kwani jeuri ya pesa kwa sasa anayo.
Mimi Tomito Tomato ni mjumbe tu ila chanzo kamili cha hii taarifa ni mtandao maarufu wa Uganda online.