Mwanamke siku zote huwa anaamini Mume ndiye atakayeanza kufa

Mwanamke siku zote huwa anaamini Mume ndiye atakayeanza kufa

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Kama unabisha Mwambie:

"Hii Nyumba nataka tuiuze" Utaskia "Halafu siku ukifa mimi nitaishije na Watoto"😜🤣😂

Sitaki maneno mimi huyo🤦🤪🏃
 
Sasa na wewe mchome kabisa kwa gunia mbili za mkaa ili umkomeshe afe yeye kwanza nawe uwe unaamini kuwa yeye ndiye atayetangulia kufa kabla yako wewe mwanaume.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Katika familia mwanamke huwa anaamini kuwa mke ndio atakuwa wa kwanza kukata Moto ....

Ukitaka kuamini Kuhusu hili siku moja mwambie ......." Mke wangu hii nyumba nataka tuiuze" ......then utasikia anakwambia ......acha utani siku ukifa mi nitaishije na watoto...

Wanaume tuna Safari ndefu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_16484891317020812.jpg
 
Hii ni kweli maana ni kauli zao za kila siku utasikia siku ukifa ndugu zako watanigeuka, au siku ukifa sijui hawa watoto ntawalisha nini!!

Au siku ukifa pesa zako zitapotelea bank maana sijui pin na akiba yako!!
 
Na hili mbona kiuhalisia ndivyo ilivyo,familia nyingi wanaume ndio wanaanza kukata moto hii kitu hakika bado huwa sielewi
 
Na hili mbona kiuhalisia ndivyo ilivyo,familia nyingi wanaume ndio wanaanza kukata moto hii kitu hakika bado huwa sielewi
KUMBUKUMBU LA TORATI 29:29.

"Mambo ya siri ni ya BWANA, Mungu wetu; lakini mambo yaliyofunuliwa ni yetu sisi na watoto wetu milele, ili tuyafanye maneno yote ya sheria hii."
 
Sababu kubwa na ya msingi ni MAUMBILE

Wanaume wanaoa ktk umri mkubwa wanawake wanaolew ktk umri mdogo hii inatokana na kuwa wanawake kazi yao n kutengeneza watot hvyo wanatakiwa waende kwa waume umri kati ya miak 16 - had 45 baada ya hapo wana relax na kupumzsha mwil, wakat wanaume wanatafuta kuanzia 16 - 30s

Kisha waoe halafu waongeze speed mara mbili au tatu zaid ili waweze kuhudumia familia

Kinachotokea anaoa mke mdogo ambae wanaweza wakawa wamepishana kat ya miaka 5 - 10 halfu kazi znaongezeka na kupumzka hakuna tena mwili unachoka haraka mara mbili zaid wakat mwanamke akifka 45 anarelax tu na kupumzisha mwili baba anahudumia na watot wanahudumia
 
USHAURI WA KIWEHU:
Vijana wa kiume oeni akina mama watu wazima au vikongwe wenye pesa nyingi muishi kwa amani.
 
Back
Top Bottom