Sababu kubwa na ya msingi ni MAUMBILE
Wanaume wanaoa ktk umri mkubwa wanawake wanaolew ktk umri mdogo hii inatokana na kuwa wanawake kazi yao n kutengeneza watot hvyo wanatakiwa waende kwa waume umri kati ya miak 16 - had 45 baada ya hapo wana relax na kupumzsha mwil, wakat wanaume wanatafuta kuanzia 16 - 30s
Kisha waoe halafu waongeze speed mara mbili au tatu zaid ili waweze kuhudumia familia
Kinachotokea anaoa mke mdogo ambae wanaweza wakawa wamepishana kat ya miaka 5 - 10 halfu kazi znaongezeka na kupumzka hakuna tena mwili unachoka haraka mara mbili zaid wakat mwanamke akifka 45 anarelax tu na kupumzisha mwili baba anahudumia na watot wanahudumia