Mwanamke sura au tabia?

Mwanamke sura au tabia?

in and out

Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
69
Reaction score
6
nataka kujua hasa nini sifa ya mwanamke leo hii maana kila mwanamke leo utawasikia wakisema mwanamke reception na kusababisha wanawake wengi kuwadaganya wanaume wengi na kusahau tabia, na kupelekea ndoa nyingi kuvunjika mapema.
 
Umeshasema wanasema mwonekano sasa jibu sindo hilo ama?!
 
Sura kama mbaya siuiziba na mto.........,tabia je?
 
Jaman tuache masihala mwanamke tabia ila na ka reception kwa mbaaaaaali
hapo utaona raha ya ndoa!
 
Mwanamke uongo. Akijua tu kudanganya basi hiyo poa. Atakuwa na sura mbaya, atakudanganya na urembo. Atakuwa mweusi tiii atakudanganya na mkorogo. Atakuwa bapa, atajifoji kwa hips na wowowo la mchainizi. Atakuwa na tabia mbaya, atajificha kwenye kivuli cha kwaya.Mwanamke bora ni yule anayejua kudanganya.
 
Mwanamke uongo. Akijua tu kudanganya basi hiyo poa. Atakuwa na sura mbaya, atakudanganya na urembo. Atakuwa mweusi tiii atakudanganya na mkorogo. Atakuwa na tabia mbaya, atajificha kwenye kivuli cha kwaya.
Mwanamke bora ni yule anayejua kudanganya.
bujibuji maelezo yako,yananiacha hoi
 
Kama ni sura hata Adam alipewa, na kama ni tabia vilevile alikuwa nayo. Mwanamke maumbile bana bila hiyo kitu pale kati we ujaitwa mwanamke. Na ndo maana mashoga wote pamoja na kujiremba, kurembua, na kugeuzwa kote huko bado ni wanaume tu hawajaqualify kuitwa wanawake unless wabadili maumbile yao!!
 
nataka kujua hasa nini sifa ya mwanamke leo hii maana kila mwanamke leo utawasikia wakisema mwanamke reception na kusababisha wanawake wengi kuwadaganya wanaume wengi na kusahau tabia, na kupelekea ndoa nyingi kuvunjika mapema.
wanamaanisha hivi, wewe kama mwanamke basi lazima ujijali, upendeze, ung'ae yaani full mvuto na sio kujiachia achia tu ovyo ka mwehu jalalani!!!
 
Lilia bahati usililie sura nzuri, ndio maana utakuta mtu ana sura mbayaaaa lakini anapendwa ni balaa
 
nataka kujua hasa nini sifa ya mwanamke leo hii maana kila mwanamke leo utawasikia wakisema mwanamke reception na kusababisha wanawake wengi kuwadaganya wanaume wengi na kusahau tabia, na kupelekea ndoa nyingi kuvunjika mapema.

Kama lengo langu kwa mwanamke ni kwa ajili ya kukata tu kiu ya kitandani au urafiki boy/girl friend basi sharti langu lazima awe na receiption nzuri. Lakini kama lengo langu ni kutafuta mwenzi wangu wa kufa na kuzikana sharti la kwanza lazima awe na tabia nzuri then sifa zingine zoote zitafuatia nyuma
 
nataka kujua hasa nini sifa ya mwanamke leo hii maana kila mwanamke leo utawasikia wakisema mwanamke reception na kusababisha wanawake wengi kuwadaganya wanaume wengi na kusahau tabia, na kupelekea ndoa nyingi kuvunjika mapema.
vyote sura na tabia
 
Back
Top Bottom