Mwanamke:-Ukijifungua, tulia kwanza, usije jiuwa bure..............

Mkiweza maliza mwaka, bora kuamua kuwa kaka na dada.

Asante kwa elimu japo kwenye huo musa ni kiasi gani ndo utata.
Kama MWAKA MMOJA hivi...........................! LOL.................Just Kidding!!!!!!
 
Kama MWAKA MMOJA hivi...........................! LOL.................Just Kidding!!!!!!


kwi kwi kwi.... Mzee Mtambuzi Bwana... mtu atasahauje tamu ya maisha kwa muda wote huo bana.lol
 
Na wewe MTAMBUZI ushaidi wa Uiengereza tupe na wa Tanzania

Shem (naimani nikikwita kwa relation hiyo nitakua sahii)
Kwa swali ulilomuuliza Mtambuzi , ngoja mie ninue kesi.
Ni hivi ushahidi wa KiTz na nje ya Tz ni pale unaposikia pakisemwa mzazi hajamaliza 40!
Maana yake ktk within 40 days after deliverd it's prohibited to play the game !
100% forbidden !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…