Mwanamke ukikosa Mume ukaamua kuzaa tu upate watoto wako, kabla hujazaa jiulize kwanza haya maswali

Na kwanini mwanamke akubali kuzaa mtoto asiyekuwa na baba?tayari imeshasemwa ukikosa mume it means hakuna wa kukuzalisha.

Wanawake wengine wajinga wajinga kisa ana-earn 300K per month utawasikia “The Worst kwa jinsi ninavyokupenda usiponibariki na mtoto sitazaa tena” ukimtizama unajiuliza huyu amemwambia nani nataka nipitishe mbegu yangu kwake huyu?anaishia kutegesha akiachwa single mama analaani wanaume wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…