π€£π€£Kuna manufaa yeyote kiuchumi kujua akili za watu?
Sio wote lazima tuwe kama mama Samia Suluhu Hassan broπ
Mimi ninavyo vyote tujaribu kushikamana basiKwema?
Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae, weka ugolo machoni na pamba sikioni usione mwingine yeyote maana hiyo ni Total Package.
Kuna wale wanawasha moto kwelikweli ukitoka hapo mwili wa baridi ila mfukoni tee, halafu kuna wale wenzangu wanachop ila anakuacha na unawakwa moto. By the way kama unae mpenzi ana kimoja katika hivyo basi tuendelee kumuombea Mungu ampe kilichokosekana.
NB: Achana na ile misemo Mungu hakupi vyote huo ni uwooongoooo.
Mpk 60 hv unarudije Kwa ex?Kutoka 100 mpaka ngapi??π³
π€£π€£π€£πNimecheka ulivyomalizia.... duuuhHahah una nini leo, mbona umeamka kipesa pesa tu...
My brain normally works like an AI machine, i tend to work by combining several data sets with intuitive processing algorithms...π
πππUjengewe SANAMU kaka yake.
Hayo mambo ya uvivu ndio maana mnakuwaga wavivu Hadi chumbani ππππ
Msingi pesaNijibie tafadhali!π€
We ni ke au meVipi kama pesa anazo na anaweza kujitunza, na sio needy ?
Na anachotaka hapo ni zaidi ya the above....;
Binafsi nasema ukipata unachotaka enjoy the ride / moment (kwa waume na wake)