Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasukuma katika ubora wenu MWAJILIWA! ulichangia gharama za kumsomesha mpka amepata iyo ulioiita MWAJILIWA!____MARIO WA KISUKUMAKuhusu Mimi
Umri 28
Muajiliwa
Mkirsto
Mrefu
Sina mtoto
Nnayemuhitaji
Dini yoyote awe tayari tu kubadili
Umri kama niliotaja
Mengine aje PM
Naona jamaa kaamua kukupeperushia njiwa kwenye mtego wako. ... 😀😀Kukurupuka sio kitu kizuri bro soma uelewe.
Humfai huyu kijana, nipe chance hiyo mimi niweke chata langu hapo kwenye hizo numbers isome 6 au hata 7- 8- 9 nkinogewaMimi nipo Mwanza ni mkristo nina miaka 25.Nina watoto 5 single mama kwa sasa sina kazi yoyote. Nipo tayari kuolewa tafadhali