jamanimiye nimendaa pilau nyama ng'ombe, kabichi, vikuku kidogo juice pamoja na madafu. jion kuna berbecue ya kufa mtu k wale walio alikwa. nichukue nafasi hii kukuualika wewe Mtambuzi, Asprin princess enny Kongosho na wengine ila kwa wale wanaume wa kichaga chonde nyama ni stiki moja moja tu so ule kitaa kwanza kabla ya kufika hapa. umeskia wewe Asprin Kaizer na Mr Rocky?
shostito wangu cacico ndo mchomaji wetu wa leo, naona yuko bize na meat grill tusubiri tuone.
Mpenz tena? mtoto wa pwani miye uchoyo sijafundishwa, kwangu utapata kile unachotaka full bufee ukishapakua wewe subiri kulishwa tu ikiwezekana ntakutafunie wewe ni kumeza tu kama kinda la ndege....... welcome my dearest
Aisee niko njiani bana..acha geti wazi kabisa ili nikifika niingie bila kuchelewa!
Nimekusamehe bana..
Ngoja na mimi nisherehekee na mtuwangu!!
BADILI TABIA sasa vipi bibie, leo nijimuvuzishe na familia yangu huko kwako............. Nimefulia mwenzio..................LOLbahati nzuri au mbaya jana nilikuwa na ugeni siku nzima, na hubby alikuwa na kazi proposal fulani anamalizia, sikuandaa chochote cha ajabu zaidi ya matunda, mboga, na wali(ambao mume wangu aliupika) then nienda kupokea wageni na kuwasambaza kunakohusika, yaani jana ilikuwa siku ya kawaida kabisa, leo ndo nipo busy kuanda mapochopocho....
Karibuni sana, nitawaandalia mtori wa samaki aina ya pweza............................LOL
aisee bestito tukaribishane basi lol! si wajua msosi wa kupika mama unavyonoga?bahati nzuri au mbaya jana nilikuwa na ugeni siku nzima, na hubby alikuwa na kazi proposal fulani anamalizia, sikuandaa chochote cha ajabu zaidi ya matunda, mboga, na wali(ambao mume wangu aliupika) then nienda kupokea wageni na kuwasambaza kunakohusika, yaani jana ilikuwa siku ya kawaida kabisa, leo ndo nipo busy kuanda mapochopocho....
BADILI TABIA sasa vipi bibie, leo nijimuvuzishe na familia yangu huko kwako............. Nimefulia mwenzio..................LOL
aisee bestito tukaribishane basi lol! si wajua msosi wa kupika mama unavyonoga?