BADILI TABIA isije ikawa nauli ya kuja huko yatosha msosi wa siku.............. Sio kwamba waishi Mologolo weye......LOLkaribu sana aisee...nauli yako tu
BADILI TABIA isije ikawa nauli ya kuja huko yatosha msosi wa siku.............. Sio kwamba waishi Mologolo weye......LOL
mmh! hapo labda kwa huyu kichanga ila hawa wakubwa wao wanataka ile makitu waone likuku la kuoka hapo kwa meza ndoo aah...........mambo safi uwaekee na tuviazi twa mbeya kama wamalila huku mjini wanaita chips aaah..............hapo mjomba utapendwa wewe maanake watataka kila siku kuja kukuona.
BADILI TABIA mie tena mzee wa ndoa ya mkeka Ununio............ Enzi zile nikipigisha miziki kwenye kuwatoa wali wa kizaramo nimevuruga uzaramoni yote kuanzia, Kipalang'anda, Tambuka Reli, Mzenga yote hiyo nimemaliza, Bonyokwa, Chanika, Kazimzumbwi, Kisarawe yote hiyo mpaka Kimanzinchana.................. Utaniambia nini mie mtoto wa mjini bana........LOLnipo huku chanika, wapajua? loh....
mimi pia nimekumiss sana haya nakuja andaa kabisa kishinda wagen manake nakuja na familia yote si unajua bajeti hapa town?karibu shosti, halau nimekumiss...
Hebu fungukeni maana nataka kulinganisha kama sijapunjwa na mama Ngina..........................LOL