Mwanamke umesoma hapa?

Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
1,459
Reaction score
699
Mm ni mwanaume wa over 40 yrs. Nipo dar, natafuta mama aliyefiwa na mume anayehitaji kuliwazwa kisaikolojia na kimapenzi, pia sihitaji pesa zake, mimi ninazo zangu. Mwenye nia aje PM.
 
Bora hata wewe umekuwa muwazi.
Lakini wawezakuta ana michepuko buku, japo ni afadhali kidogo kum-control.

Tatizo, atakuja na familia ya watoto 5! Utakuja kutoa mrejesho.

Pia mpime afya kiukweli; usijekuta mume kafa kwa...... homa ya dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm ni mwanaume wa over 40 yrs. Nipo dar, natafuta mama aliyefiwa na mume anayehitaji kuliwazwa kisaikolojia na kimapenzi, pia sihitaji pesa zake, mimi ninazo zangu. Mwenye nia aje PM.

Ungesema miaka yako halisi ni mingapi not above 40
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…