Mwanamke unampomkataa mtu tumia lugha nzuri

Mkalie kimya tu. Sio lazima umtangaze hovyo.
Inaonekana upo desperate naye.
 
Kukataliwa ni kukataliwa tu haijaishi lugha iliyotumika
Kuweka takataka kwenye kopo jipya hakubadili ukweli kuwa kilichomo mule ni takataka
 
Kukataliwa ni kukataliwa tu haijaishi lugha iliyotumika
Kuweka takataka kwenye kopo jipya hakubadili ukweli kuwa kilichomo mule ni takataka
ishu sio kukataliwa kunijibu vile mbele ya wenzangu
 
Na ww mjibu kwa kiburi upooze hasira zako.
Inaelekea sa iv unajishaua kunyenyekewa ila kumbuka alishakubwaga tu. Huwezi kuwa kama mwanzo.
 
Usilipe baya kwa baya...
Ushinde Ubaya kwa Wema.
 
Usimuongeleshe au kumuongelea mtu vibaya.. hujui lini untumuhitaji au atakuwa na umuhimu kwako...
 
uko hatarini kuambukizwa HIV...samahani lakini
 
Yaani mi mpaka sasa sina uhakika na huyo msichana alipojirudi akasema anakupenda eti umpe hata mimba anakujaribu ili umjibu nishapata mwengine na ukisema ninaye huyo atakuwa mchepuko na kiumbe chako tumboni kwake
 
Huna jipya miaka 17 keshazeeka kwa kizazi hiki
 
Itakuwa umaishi kwenye Handaki mana umri huo(17 yrs) wengi washatoa mimba si chini ya 5, na kumaliza waume za watu mitaani. Hahaha hahaha
 
Mzee sekondaei akili za kitoto unamhukumu hadi leo?

Ule ni utoto sahizi mmekuwa na akili timamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…