The Analyst
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 464
- 246
- Thread starter
-
- #41
Anijali, anipende, anitunze, aniridhishe, ajue majukumu yake kwa family.... ziada yake awe mweusi mrefu kiasi, mwembamba mnene(katikati hapo) asiwe handsome, anaetabasam mara kwa mara, anaenukia perfumes za ukweli(hii huni turn on sana), msafi
Wanawake most of them wapo kimasilah zaidi, wanapenda pesa!
Napenda anayeniheshimu hata kama nje anafanya mambo mengine.
Anayenishirikisha mambo yake yote ya muhimu ninayostahili kuyafahamu.
Anayenipa nafasi ya kumshauri hata kama hakubaliani na ushauri wangu moja kwa moja.
Anayenisikiliza hata kama mara zote naongea pumba.
Napenda anayewapenda watu wangu ninaowapenda.
Anayeonesha kujali hasa kipindi cha matatizo.
Aliye huru kuwa na mimi muda wowote na mahali popote.
Anayejipenda mwenyewe na anaewapenda watu wake wa karibu....
Hayo ndio ya msingi ninayoyapenda kwa mwanaume.
Anijali, anipende, anitunze, aniridhishe, ajue majukumu yake kwa family.... ziada yake awe mweusi mrefu kiasi, mwembamba mnene(katikati hapo) asiwe handsome, anaetabasam mara kwa mara, anaenukia perfumes za ukweli(hii huni turn on sana), msafi[/QUOTE]
Hapo kwenye RED kama bado hujampata mwenye vigenzo hivyo basi usihangaike shida imekwisha, pendelea kufanya matembezi maeneo ya kinondoni pale kuna wacongoman wa kumwaga kwahiyio chaguo ni lako. ila usitegemee kwenda kuishi kwake huwa hawana vyumba wao huwa wanakaa kwa wanawake (marioo ) ni vizuri ukijiandaa kwa hilo.
Napenda mwanaume aliyekwisha wai kuachika so anajua inavyouma
Full package nataka
mhhhhh
mungu tulindie wake zetu huko nje....
Anijali, anipende, anitunze, aniridhishe, ajue majukumu yake kwa family.... ziada yake awe mweusi mrefu kiasi, mwembamba mnene(katikati hapo) asiwe handsome, anaetabasam mara kwa mara, anaenukia perfumes za ukweli(hii huni turn on sana), msafi[/QUOTE]
Hapo kwenye RED kama bado hujampata mwenye vigenzo hivyo basi usihangaike shida imekwisha, pendelea kufanya matembezi maeneo ya kinondoni pale kuna wacongoman wa kumwaga kwahiyio chaguo ni lako. ila usitegemee kwenda kuishi kwake huwa hawana vyumba wao huwa wanakaa kwa wanawake (marioo ) ni vizuri ukijiandaa kwa hilo.
asante mkuu. this is hillarious!
Napenda anayeniheshimu hata kama nje anafanya mambo mengine.
Anayenishirikisha mambo yake yote ya muhimu ninayostahili kuyafahamu.
Anayenipa nafasi ya kumshauri hata kama hakubaliani na ushauri wangu moja kwa moja.
Anayenisikiliza hata kama mara zote naongea pumba.
Napenda anayewapenda watu wangu ninaowapenda.
Anayeonesha kujali hasa kipindi cha matatizo.
Aliye huru kuwa na mimi muda wowote na mahali popote.
Anayejipenda mwenyewe na anaewapenda watu wake wa karibu....
Hayo ndio ya msingi ninayoyapenda kwa mwanaume.
LOVE IS NOT ENOUGH NA IN LOVE WOMEN DONT MAKE SENSE usjitaabishe kujua mwanamke anapenda nn WW JIPENDE KWANZA utaona wanavyonasa atajua kuwa the way u love urself hata yeye atakuwa na mapenzi salama!
1.awe na muda wa kutosha wa kufurahi na mimi sio muda wote anatafuta pesa.
2.anayejiamini sana
3.mwenye mapenzi kwa watoto tutakaokuwanao
4.mwelewa
5.awe na moyo wa kutoa/kusaidia wenye shida
6.hatadhubutu kuniacha hd kifo
7.awe pamoja nami ktk magumu nitakayokutana nayo mbeleni
8.ajue kunisikiliza ht kama anaona naongea pumba
9.asiwe mbahili na pesa zake
10.asiwe mfujaji wa pesa hovyo
11.atakayeniheshimu,nijali,nipende siku zote za maisha yangu
12.asiwe mnyanyasaji
13.awe mwaminifu sana kwenye masuala ya unyumba,ZAIDI YA YOTE HAYO AWE NA HOFU YA MUNGU