Mwanamke: Usafi wa K ni zaidi ya muhimu, harufu mbaya zimezidi

Ili mwenza asikuone kama unamchukuliaje? mpe taulo na mswaki then nawe chkua vilevile mwambie twenzetu tukaanzie bathroom
Hii ni njia nzuri maana mtu anaweza ona umemdharau bure kumbe tu mambo mengine hayavumiliki
 
Kagua mwanamke unaebeba kama ana makucha kama jini pita mbali
 
hii issue kwa sasa ni janga kwa wanawake wengi sana, kuanzia masista duu,mabinti toka familia bora, wanawake wasomi, wake za watu mpaka mademu wa uzwazi.

niliwahi kumuuliza daktari mmoja rafiki yangu chanzo cha tatizo hili.

akaniambia moja ya chanzo ni vile vijiti vya kufunga uzazi wanavyopachikwa wanawake kwenye miili yao. hakuna shaka kwamba wanawake zetu wengi wanatumia mbinu hii kuzuia mimba.

kwa maelezo ya yule daktari aliniambia vile vijiti vina madhara makubwa sana kwa wanawake.

wapo wanaopata madhara ya ku-breed mfululizo mwezi mzima, wapo wanopata madhara ya kunenepa hovyo, wapo wanaopata madhara ya kuugua UTI kila mara, wapo wanaopata madhara ya kukauka kwa ute ute unao lainisha kuta za uke, wapo wanaokosa hamu ya tendo la ndoa, wapo wanapata madhara ya K zao kutoa harufu mbaya nk.

hata hivyo hili la kutokusafisha K vizuri nalo linachangia.
 
Miili yetu sisi wanaadam inahitaji USAFI wa hali ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…