Mwanamke: Usafi wa 'K' ni zaidi ya muhimu, harufu mbaya zimezidi

Mwanamke: Usafi wa 'K' ni zaidi ya muhimu, harufu mbaya zimezidi

Random

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
791
Reaction score
742
Salam!

Kirefu cha herufi 'K' tajwa hapo juu cio kila neno linanaloanza na heruf K upo sahihi, kwa watu wazima mnaelewa K ni nin kwa muktadha wa mada

Wanawake waliobaleghe mmekuwa na kasumba ya kunuka K sana, sijui ni maradhi au ni uzembe tuu ktk usafi, wanaume wengi wamekuwa wakimya kuwaeleza wapenz wao kuhofiwa kunyimwa mzigo na hivyo kuvumilia hizo harufu ili wapate mzigo

Mf: mwanamke anatoka mishe mishe jioni anapitia kwa mshikaji hajaoga wala kujisafisha na ana comfidence ya kuvua chupi, mwingine katoka kupigwa mzigo hajaoga na anavua kwingine, mwingine hajaoga tangu jana jiona asbh kaamkia mswaki mwili haujui maji saa tano sita mchana kaenda kutoa mzigo n.k unategemea bado hunuki?

Lip stiks na make ups ndo wanachojua, lakini sio kujipiga msasa uvunguni vile inavotakiwa, harufu za uozo au yai viza, usaha, kuchacha, panya kuoza, utoko n.k zimetawala kama hana haruf hii basi ana ile, ghafla akivua nguo chumba kinanuka haruf kali hadi kichwa kinauma, kwa nje haendani na uzuri au umaridadi wake

Kuambiwa ukweli na mpenzi wako ni ngum isipokuwa kwa wachache, jichunguze mwenyewe au anza wew kumuuliza mwanamme wako jee K inanuka, kwa tekniks etc anzia mbali..

Hili ni kama janga kwa wanawake wa sasa.

Mashuda tushuhudie hapa, wenye kushauri tushauri hapa na wengine tugonge likes

Source: Tomato Source
 
Huyo wifi wa mji gani anaepiga mswaki na kupaka make up bila kujisafisha kwa bibi?
Kazi yako wewe kama mwanaume ni kumuambia pia k yake ina harufu ili kama ni ugonjwa unaokuhusu na wewe ukajitibu.
Sio kila k inayonuka ni uchafu zingine magonjwa. Sasa kaa kimya na wewe ugonjwa ukuingie
 
Salam!

Kirefu cha herufi 'K' tajwa hapo juu cio kila neno linanaloanza na heruf K upo sahihi, kwa watu wazima mnaelewa K ni nin kwa muktadha wa mada

Wanawake waliobaleghe mmekuwa na kasumba ya kunuka K sana, sijui ni maradhi au ni uzembe tuu ktk usafi, wanaume wengi wamekuwa wakimya kuwaeleza wapenz wao kuhofiwa kunyimwa mzigo na hivyo kuvumilia hizo harufu ili wapate mzigo

Mf: mwanamke anatoka mishe mishe jioni anapitia kwa mshikaji hajaoga wala kujisafisha na ana comfidence ya kuvua chupi, mwingine katoka kupigwa mzigo hajaoga na anavua kwingine, mwingine hajaoga tangu jana jiona asbh kaamkia mswaki mwili haujui maji saa tano sita mchana kaenda kutoa mzigo n.k unategemea bado hunuki?

Lip stiks na make ups ndo wanachojua, lakini sio kujipiga msasa uvunguni vile inavotakiwa, harufu za uozo au yai viza, usaha, kuchacha, utoko n.k zimetawala kama hana haruf hii basi ana ile, ghafla akivua nguo chumba kinanuka haruf kali hadi kichwa kinauma, kwa nje haendani na uzuri au umaridadi wake

Kuambiwa ukweli na mpenzi wako ni ngum isipokuwa kwa wachache, jichunguze mwenyewe au anza wew kumuuliza mwanamme wako jee K inanuka, kwa teqniks etc anzia mbali..

Hili ni kama janga kwa wanawake wa sasa.

Mashuda tushuhudie hapa, wenye kushauri tushauri hapa na wengine tugonge likes

Source: Tomato Source
Tatizo lako unatembea na wanawake walio baleghe dogo.
 
Back
Top Bottom