Kaunga marafiki wengi hawatumii nguvu kumaliza kazi huwa wanakula kiulainiiii tena bila hata kutongozana Mtambuzi hajajuaKama ni rafiki wa ukwelii hawezi fanya hivyo. Na kama akifanya basi hafai; maana hakufai, anataka kutumia weekness zako (si ulikuwa unamsimulia) kukutumia tu.
Nitafanya nini? Nitavunja urafiki coz nitamchukia automatically!
Hewaaa, hapa sasa najua utawasaidia wanaume wengi wanaotega mingo humu JF...........
Haya hayaaa ................ wale wanaume single watega nyavu wanaokesha humu JF wakiwa na ndoto za Alinacha kuvizia bahati ziwadondokee, bi dada Neema keshafunguka, nyie songesheni tu, kumbe inawezekana................
Hahahaaa ila kwani we ulishagonga wamba?Poa mkuu Erickb52 nakutakia kila la kheri.
lakini si lazima wazungumze kwanza.......... vinginevyo hiyo itakuwa ni kubakaNgoja nkwambie kitu
Mtambuzi...Marafiki hawatongozani kwa hiyo rekebisha uzi
wako...wanajikuta wameanza ku do to mmoja akidhani ni accident huku
mwingine alikuwa ame plan from the start.
Ndio maana nasemaga hakuna urafiki kati ya mtoto wa kike na wa kiume.
Watu wanamegana wakati kila mtu ana wake kwa kificho cha
urafiki.
najua Bishanga anauma vidole huko alipo..........Hahahaaa na kweli nakumind
coz unatuharibia mitego yetu lol
Back to topic
Hili suala ni la kweli na kwa kawaida kuhusu kubadili mahusiano huwa
inakuja bila kujua yani wahusika wanajikuwa wako ndani ya love na
Mtambuzi kwa kawaida mtu mliyekuwa nae kwenye
urafiki wa kawaida(Upendo wa Agape) then mkaingia kwenye mapenzi
mengine...mahusiano huwa mazuri sana na heshima kubwa sana na huwa
yanadumu kuliko kawaida.
Na kimaisha inashauriwa kuwa na urafiki wa kawaida kwanza ndio mapenzi
yafuate.
Ila kwa akina waluwalu kama Bishanga wao
wakiona mdada kawazoea kidogo wanataka tamtam lol hao ndio
mashaka.
Safi sana mtambuzi kwa kutusaidia!
Wapi smile,charmglady,kongosho,madame,
njooni mtiririke
Kama
ni rafiki wa ukwelii
hawezi fanya hivyo. Na kama akifanya basi hafai; maana hakufai, anataka
kutumia weekness zako (si ulikuwa unamsimulia) kukutumia tu.
Nitafanya nini? Nitavunja urafiki coz nitamchukia automatically!
Kaunga wanaume wana mbinu we acha tu, unamkuta
mwanaume analia kama mtoto mpaka mwenyewe unalainika......
Si unajua rafiki ni bora kuliko mwanasesere