Mwanamke: utafanyaje utakapokabiliwa na mtego huu.........?

huu unaitwa urafiki wa paka na samaki jamani... Mtambuzi mbona huelewii.....?




Umesema kweli Preta mimi sijui nina ugonjwa gani yaani nikishaona msichana yuko karibu yangu basi hujikuta tu nimeshamtongoza halafu hata nakuwa sijui nilianzaanzaje,sasa haya ya mtu kuwa na rafiki wa kike eti miaka miwili duh,unasubiri nini kumtongoza yaishe..??
 
Last edited by a moderator:
sina sababu ya kulala na mwanamme rafiki kwa sababu kwanza mkishalalana hata yale mliyokuwa mnaaambiana na kushauriana hayatakuwepo,rafiki wa kiume unaweza kumueleza lolote ,kama ana busara, hata ya wanaume wanaokutongoza na akakushauri uzur tu i.sa mkishalala?what next
 
Kinachoharibu hapo ni hizo hadithi za sijui ana uhusiano lakini unayumba sijui, ina maana ana mahusiano mengine. vinginevyo, kama mimi niko free na yeye hana mtu sioni ni kwa nini nimnyime, after all na mimi nitaenjoy pia!
 
hakuna urafiki wa mvulana na msichana......never.......
MtotoSix, wewe ni teenager? Kua uyaone. Asilimia 80 ya rafiki zangu ni wakaka. Tunatoka lunch, diner, disco, bar......
Ni kweli huwa inatokea sometimes watakuomba, lakini mdada ukiwa strong na kuongea nao kuwakumbusha uhusiano wenu huwa wanaelewa. Ushauri tu kwa wadada, kama tunapenda kudumisha urafiki wa kawaida na rafiki zetu wakaka tunahitaji kujitahidi kutowatega kwa namna yoyote ile, kwani nimegundua hawa wenzetu ni "DHAIFU" kwenye mahusiano, tuwasaidie.


Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Fixed Point hata mimi huwa naombaga lakini kwa matani............LOL

 
Last edited by a moderator:
Fixed Point hata mimi huwa naombaga lakini kwa matani............LOL


Ha haaaa, Mtambuzi, huwa mnasemaga hivyo hivyo mnatania lakini mkikutana na mdada DHAIFU akawapa mnapokea. LOL

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…