Mwanamke uwe na nguo za ndani nyeupe nyingi utaona mafanikio

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kwenu wakina Dada nawashauri muwe na chupi nyeupe nyingi kuliko rangi yoyote Hii itakufanya mambo yako yakunyookeee kwa 100%

mwanamke ukiwa na chupi nyeusi nyekundu kijani njano kahawia inafifisha nyota yako hizi sio rangi za ukeni!! Rangi za kupendezesha ukeni ni nyeupe tu na angalau kwa mbali pink anza Leo utaniamini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…