Kwenu wakina Dada nawashauri muwe na chupi nyeupe nyingi kuliko rangi yoyote Hii itakufanya mambo yako yakunyookeee kwa 100%
mwanamke ukiwa na chupi nyeusi nyekundu kijani njano kahawia inafifisha nyota yako hizi sio rangi za ukeni!! Rangi za kupendezesha ukeni ni nyeupe tu na angalau kwa mbali pink anza Leo utaniamini!!
Unateseka sana kiasi usipotumiwa picha hutapiga puny**o leo Chifu?Tungepata na tupicha tumoja ingekuwa mswano
ππππ Hapana kiongozi, nishaachaga hiyo michezo katikati ya miaka ya tisini (Pengine ulikuwa hujazaliwa chief- joking) but nina mke sasa na mtoto mmoja.Unateseka sana kiasi usipotumiwa picha hutapiga puny**o leo Chifu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa kwangu ana nyeupe nyingi ingawa kutokana na kala yake ya ngozi napendelea sana akivaa kufuli black..anakuwaga more romantiki.
Maana yake hadhi yenye mvuto !! Huipati kiurahisi..!
Sema haki ya nani... Na utomaso wangu huu!Nimewah sema hakun color nzuri km blak aisee ht mm huwa najiona nangaa kwa blak..ingawa nyeupe nazo ni za muhimu
hahahaaa...nashangaa wanaume mnaponda chupi nyeusi..ukipata chupi nzuri kbs nyeusi dah..!mm nabarikiwa sana na hizo color..sema napishana nazo sana kuzipata..!ww unazionaje...Sema haki ya nani... Na utomaso wangu huu!
nitakutafutia dozen moja, unavaa size gani? πhahahaaa...nashangaa wanaume mnaponda chupi nyeusi..ukipata chupi nzuri kbs nyeusi dah..!mm nabarikiwa sana na hizo color..sema napishana nazo sana kuzipata..!ww unazionaje...
Zipo rangi nzuri zaidi ya nyeupe na zinawapendeza wadada (na-refer vazi la ufukweni kwenye mashindano ya umiss).hahahaaa...nashangaa wanaume mnaponda chupi nyeusi..ukipata chupi nzuri kbs nyeusi dah..!mm nabarikiwa sana na hizo color..sema napishana nazo sana kuzipata..!ww unazionaje...
Zipo rangi nzuri zaidi ya nyeupe na zinawapendeza wadada (na-refer vazi la ufukweni kwenye mashindano ya umiss).
Nashindwa kutoa maoni kuhusu nyeusi....ningeona kwanza zinavyokukaa.
Weka pichaJF raha sana kwa kweli.
Watakwambia uweke picha hapa wee subiri tu utaona eti.
π π π π ...kwa size sijuagi...π πnitakutafutia dozen moja, unavaa size gani? π
Hamjui raga ya chupi nyeusi