Mwanamke wa arusha anayeitaji kuolewa

mussaar

Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
9
Reaction score
0
Mi naitwa MUSSA wa ARUSHA, naitaji mwanamke ambaye yuko sirious anayeitaji kuolewa na ambaye anaishi arusha ili tuweze kuonana kwa urahisi

SIFA ZANGU


ELIMU: chuo kikuu

KAZI : nimeajiriwa serikalini

MIAKA : 30

UMBO : LA WASTANI

UREFU : NI MREFU ZAIDI YA FT5

DINI : MUISLAM

KIPATO: CHA KAWAIDA

RANGI : MAJI YA KUNDE


SIFA ZA MWANAMKE AWE NA :-

KAZI: AWE ANAFANYA KAZI AU BIASHARA

MIAKA: 20-28

ELIMU; KUANZIA FORM FOUR

UMBO : ASIWE MNENE SANA NA AWE NA SHEP

RANGI: YOYOTE

UMVUTO : AWE ANAVUTIA

DINI : SIBAGUI muislsm/mkristo


Kwa aliye tayari ani PM AU AWASILIANE NA MIMI kupitia mussaomary989@yahoo.com plc naomba wale walio sirious
 
Mbona e-mail ni kama ya mwanaume? Mussa Omary atakuwa demu kweli jamani? Haya bwana kila la kheri! Uke wenza utaumudu?
 
Aiseee babaangu mmekubali kuhesabiwa???

Mi ngoja nipate mbege nimsubiri karani
 
Tatizo nini nauli ya kusafirisha mtu toka Lindi huna??

Unaoa kimkoa??

Huna tofauti na matangazo ya shule siku hizi.

Utasikia shule XYZ ni nzuri sana, mwaka huu imefaulisha, ya kwanza kimkoa, ya pili ki wilaya.
Wahi nafasi zimebaki chache, watoto wanapata breki fasti (Maini ya chapati) lunch (Pork Ribs na mikate) usiku (pure-kande)

Wizi mtupu kama wewe, upendo wako unakuwa affected na kijografia??
 
Mbona e-mail ni kama ya mwanaume? Mussa Omary atakuwa demu kweli jamani? Haya bwana kila la kheri! Uke wenza utaumudu?

Sshhhhhhhhhhhhhiiiiiiiiii.....Usiwe na papara... Soma thread taratibu utagundua wewe ndio hujaielewa....
 
Kweli kamanda. Sikuuelwa uzi. Tatizo headline umeandika yaki-Shigongo zaidi. Asante kwakunipa darasa
 
Mwanaume jasiri hum face mwanamke na si kujificha nyuma ya pazia la JF kutafuta mtu gizani halafu harusi uifanye nuruni.
Mkuu acha uoga tafuta wanawake mtaani kwako wako wengi tu, njoo huku Moshono, Nduruma, Sanawari, Kimandolu wako wa kutosha acha kufanya vituko. Humu jamii forum hamna wanawake wa Form IV wengi humu graduate. Yaani humu ulichofanya ni sawa na kutangaza biashara ya kitimoto msikitini
 
mbona e-mail ni kama ya mwanaume? Mussa omary atakuwa demu kweli jamani? Haya bwana kila la kheri! Uke wenza utaumudu?

before you comment make sure umesoma na kumuelewa mleta. Acha papara ya kujibu. Rudia.
 
Aje njairo or sory njiro ahangaike nao. Pia pale kwa wazazi wangu uzunguni pia kuna watoto wa geti kali na wako vizuri ki-financial stable. Wewe tu.
 
Unaweza kupata humu lakini ikawa afadhali ungempa Shevaz!
Take care.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…