Sisa Og
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 201
- 504
Huu mwaka wa kuchanganyikiwa kweli!
Huyu mrembo tangu niwe nae kwenye mahusiano simuelewi kabisaa! Bora tu nijikatae au mapenzi sio vitu vyangu.
Huyu mrembo nilimblock miezi kadhaa nyuma kwa sababu mahusiano hayakuwa well balanced. Yaani mi ndo nimtafute, nimcall, text. Ila yeye mpaka ajisikie. Sasa huko ni kujikomba.
Alikuja kunitafuta baada ya miezi 2 na kulalamika na kudai nautesa moyo wake. Nikasema isiwe kesi nikamkaribisha tena. Siku za mwanzoni, mrembo alikuwa serious. Ubusy hamna, communication vizuri na upatikanaji.
Haya sasa, baada ya wiki mambo yakarudi yaleyale. Hamna ugomvi wala nini mtoto mwendo wa kunikalia kimya. Ukituma sms zinajibiwa after masaa au muda mwingine hamna. Nikaona isiwe kesi, nikavunga. Baada ya siku kadhaa ananitafuta na malalamiko kwamba nimebadilika simjulii hali wala nini? Mtu kama huyo unamfanyaje?
Sasa nimeamua kukaa kimya siku ya tatu sasa.
Nashukuru Mungu mahusiano nishayavulia nguo kitambo japo namkubali sana ila hisia hazizidi uwezo.
All in all huu mwaka wa kuchanganyikiwa, hivyo tuwe makini.
Keep focusing on money, food and hobbies, love is a scam