[emoji23] [emoji23] umevuta fegi kubwa!!Asa unamwambia nani upuuzi wako,haya na mie nmetoka toilet now,nmeshusha mzigo heavy payload,gogo la haja.na mi nianzishe uzi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado huyu ndo kwanza ameanza kuota zivumaKwani cha ajabu kitu gani mkuu mpaka umlete hapa jukwaani?
Unaona matunda ya interview zake na nyie visura wa JF? Ameanza kuwadhalilisha sasa!Em subiri kwanza
Ni nani huyoNi mtu Wa kukosa wakati ninae mpenzi humu
DJ sepetu
Hapana, ndo nainyonga hapa.[emoji23] [emoji23] umevuta fegi kubwa!!
DJ sepetu
Rafiki babe nataka tuonane please![emoji24][emoji24][emoji24]Em subiri kwanza
MaajabuAnakufata pm...(1)
Jinsi alivyo beautiful....(2)
Sijui nimkubalie tuonane.....(3)
[emoji125][emoji125][emoji125]