Wacha weeee.Asante mkuu toka primary
DJ sepetu
Sijasema hivo jamani mbona unaniaccuse mimi sasa! Nilikataa interview kwa sababu zangu binafsi jamani ! Hayo ni mawazo tu ya watu juu ya interview zako but they won't change the real you or mambo yako rafiki don't get me wrong!Kukataa interview ni uoga wako tu[emoji23] [emoji23]
Do you mean all those waliofanya interview wametongozwa!!
DJ sepetu
Sina mengi mie. Zitafika mkuu usijali.Naona unaenda wasalimie kibiti!
DJ sepetu
No your post imebeba kejeli Na chuki!Sijasema hivo jamani mbona unaniaccuse mimi sasa! Nilikataa interview kwa sababu zangu binafsi jamani ! Hayo ni mawazo tu ya watu juu ya interview zako but they won't change the real you or mambo yako rafiki don't get me wrong!
Mahondaw wa Smart911
Endelea kuota tu wala hakuna tatizo[emoji125] [emoji125]Ni wewe nini
DJ sepetu
kwetu kgm au siyo!
Swahiba mzimaHongera. Una kismati mkuu.
Mzima kabisa swahiba.Swahiba mzima
HaaaaaaMzima kabisa swahiba.
Bado najiuliza ni nani huyo mwenye moyo wa kipekee hivyo na kwenda kwa @muosharungu bila hofu ya kuja kufanyiwa interview.
Hebu njoo tujibu na swahiba hapa[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu