BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Huyo demu ni Engineer kitambo sana tangu 2008. Sijaona tatizo lolote au kuna dalili za mtu kuanza kubadilika jinsi na kutsmani jinsia, ya wenzakeUkiangalia video ya kwenye harusi ya G Nako kila msanii wa kundi la Weusi alipita mbele kucheza na mwanamke wake.
Ila mwanamke aliyekuwa na Joh Makini utafikiri amekutana nae njiani akamuomba amsindikize kwenye harusi, ni kama amemtoa Ambiance. Tazama video uone mwenyewe, lini ipo hapo chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwel sio vzuri kumwambia binadamu mwenzako maneno ya hvyoUmetumia lugha ya kuudhi, unahitaji kuwa Mtu mwenye utu.
Ukiangalia video ya kwenye harusi ya G Nako kila msanii wa kundi la Weusi alipita mbele kucheza na mwanamke wake.