Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 245
Aah mae? Uamba...? Lizzy mlishajichambua mbonaUnataka wachambuliwe ili?!Kwanini usije na kabila lako useme sisi wanaume wa kabila fulani tuko hivi na hivi haya naomba mtuchambue ?Kazi kuhangaika na makabila ya wengine tu....
Unataka wachambuliwe ili?!Kwanini usije na kabila lako useme "sisi wanaume wa kabila fulani tuko hivi na hivi haya naomba mtuchambue" ?Kazi kuhangaika na makabila ya wengine tu....
Salaam wana MMU,
Kumekua na mada mbalimbali zinazohusu tabia,silka za wanawake wa kutoka makabila mbalimbali yaliyo ndani ya Tanzania au nje YaTanzania,mfano kuna mada kuhusu wanawake wa kichaga,kingoni.wakurya na wanyarwanda,wadau wakachambua na tukajua tusivyovijua kuhusu wanawake wa makabila hayo.
Leo nimeona siyo vibaya tukajaribu kuelezea Tabia za wanawake wa KiGOGO.
Note:tukiacha ile sifa yao kubwa ya utani ya kuombaomba(umatonya)
Nawasilisha.
Wifi za masiku sio shwari...kakako anataka kunipangia hata siku za kuingia JF....sijui ni wivu au ndo ananionyesha nani mwamuzi!!Lolzzz!Nimekumiss pia wifi!Ahhh haya mambo ya kujadili makabila ya watu yanachosha na kuboa kweli....utadhani mtu anazaliwa na kulelewa na kabila!!!Ajue anaweza akapata sifa nzuri sana hapa baada ya kuingia anakuta aliyodhani/ambiwa siyo...au akalemewa na sifa mbaya na kuamua kukaa mbali kumbe kajikosesha bahati ya kumpata anaemfaa!Kama kapenda amchunguze tu na sio kuuliza katoka wapi...kabila lake lina rangi gani ....kakako kaona ua zuri mahali anataka kulivizia wifi, hebu mpe hints asije akawa surprised banaa. za masiku? u ar missed...
Sio fresh kuchambua mwanamke kwa kufuata kabila au hata dini kwenye hadhara namna hii. Mambo kama haya wanaongelea pembeni, tena mkiwa watu wa kabila moja tu. Sio hapa kwenye mchanganyiko mkubwa wa watu
Kwahiyo ndo unaona sifa....embu kasaidie kazi achana na makabila ya watu!Au leta lako na sifa zenu tuwachambue kama njegere!Aah mae? Uamba...? Lizzy mlishajichambua mbona
Acha umbea mtoto wa kiume ingekuwa zanzibar tungekuvalisha chupi ya bambino na dela alafu tungeku ''chumu'' coz siku hizi mambo ya makabila ya mepitwa na wakati na wanaume ambao wanaoa kwa kuangalia makabila ni vidudu mtu.Hata wanawake wa ki barbeg siku hizi wameelimika.Leta hoja za maana sio huu upuuzi wa kitoto.
Kwahiyo ndo unaona sifa....embu kasaidie kazi achana na makabila ya watu!Au leta lako na sifa zenu tuwachambue kama njegere!
sipiyU,ZA cku? Wajua tulichambua wachaga humu,wakurya,wangoni' wanyarwanda,co kwamba kujua tabia zao ni kuwadhalilisha,ni vema 2kazijua kuliko kutokuzijua,haijalishi idadai ya watu.
Natumaini atakusoma na kukuelewa...kweli ukiamua hua unatoa point mwanzo mwisho!Inawezekana hulioni tatizo. Akija mtu akisema wengi wao ni wazinzi na akatoa na ushahidi, ujue utawagusa hata wagogo ambao sio wazinzi??Wenzio walipoanzisha walikuwa specific, mfano alikuja mtu akasema mabinti wa Arusha wazuri sana, kuanzia tabia hadi sura. Wanafaa kuolewa na kuwa wake wazuri. Sasa wewe unakuja na kudai TUWAJUE WAGOGO . . . . Jaribu kuelewa kijana, acha ubishi. Kuchambuana kabila hadharani sio vizuri. Sio kila mtu anajisikia kama unavyoona wewe. Wenzio watajihisi kudhalilishwa, hata kama wewe hutaona ni udhalilishaji unapaswa uache. Heshimu wenzako. Acha kung'ang'ania unachoambiwa hakifai . . .
Haijalishi ni kabila gani....hata hayo mengine sikufurahia...hata la kwangu mwenyewe sikufurahia japo najivunia.Heshimu uheshimiwe...kwani ukiwachambua utafaidika vipi na ukiachana nayo unapungukiwa na kipi!?mmh haya Sipiyu.au kwavile Dodoma kuna bunge? Wachaga walichambuliwa kwa mazuri na mabaya,wangoni tuliwapa sana sifa humu haikuwa tatizo,wanyarwanda ndo msiseme, wakurya kila mtua alijitaid,bt leo hii wagogo imekua donge. Co mbaya ngoja nimwamwimbie mod aitoe.
Wanawake wa kichaga wanapenda hela? Hawajui mapenzi?Natumaini atakusoma na kukuelewa...kweli ukiamua hua unatoa point mwanzo mwisho!