Mwanamke wa kubadilishana mawazo anahitajika

Mwanamke wa kubadilishana mawazo anahitajika

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
529
Reaction score
483
habari wadau nahitaji mwanamke wa kubadilishana nae mawazo. Awe anajitambua awe na shughuli ya kufanya ikiwa anajitegemea kimaisha itakuwa vizuri zaidi.
Maelezo kuhusu mm ni vyema kama takuja pm naomba uwe serious nisinge penda kupotezeana mda.
 
Mnabadilishana mawazo gani? Akikupa mawazo ya siku zake ukakubali kumbadilishia?
 
Back
Top Bottom