I igihumbi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2017 Posts 529 Reaction score 483 Dec 12, 2018 #1 habari wadau nahitaji mwanamke wa kubadilishana nae mawazo. Awe anajitambua awe na shughuli ya kufanya ikiwa anajitegemea kimaisha itakuwa vizuri zaidi. Maelezo kuhusu mm ni vyema kama takuja pm naomba uwe serious nisinge penda kupotezeana mda.
habari wadau nahitaji mwanamke wa kubadilishana nae mawazo. Awe anajitambua awe na shughuli ya kufanya ikiwa anajitegemea kimaisha itakuwa vizuri zaidi. Maelezo kuhusu mm ni vyema kama takuja pm naomba uwe serious nisinge penda kupotezeana mda.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Dec 12, 2018 #2 Mnabadilishana mawazo gani? Akikupa mawazo ya siku zake ukakubali kumbadilishia?
I igihumbi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2017 Posts 529 Reaction score 483 Dec 12, 2018 Thread starter #3 Viatu vya Samaki said: Mnabadilishana mawazo gani? Akikupa mawazo ya siku zake ukakubali kumbadilishia? Click to expand... Asante kwa maoni.
Viatu vya Samaki said: Mnabadilishana mawazo gani? Akikupa mawazo ya siku zake ukakubali kumbadilishia? Click to expand... Asante kwa maoni.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Dec 12, 2018 #4 igihumbi said: Asante kwa maoni. Click to expand... Ni mahoni siyo maoni.
STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,586 Dec 12, 2018 #5 Vizuri sana