jitwangabalogi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2018
- 476
- 636
Habari zenu mabinti wa jf:-
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu:
Kipato,umri,rangi,umbo n.k vyote hivyo sitazingatia, cha mhimu awe mwanamke tu!
Kwa yeyote ambaye ataguswa moyoni na ujumbe huu anaweza kuni PM au nitamfata moja kwa moja inbox kwa moyo wangu mkunjufu na wa ukaidi baada ya kukoment hapa.
Nb; vipaumbele zaidi vitatolewa kwa wale waliopo dsm.
#Ahsanten na bwana wangu atawabariki nyote mtakao onesha mwitikio huu: