Sakala Sakala
Senior Member
- Sep 17, 2017
- 113
- 76
Hivi hayo maadili na tamaduni umekopi kutoka nchi gani?Natumaini nyote ni wazima. Natafuta mwanamke atakayenitunuku mtoto (kunizalia).
Awe na sifa zifuatazo:
1. Umri miaka 25-34
2 Anajitegemea kiuchumi
3. Awe tayari kupima afya (HIV)
4. Awe tayari kulea mtoto kwa kushirikiana nami
Sifa zangu
1. Miaka 32
1. Ninajitegemea kimaisha
3. Nipo tayari kupima afya
4. Nipo tayari kulea mwanangu
Nawasilisha
Incubator zipo nyingi tu .....unaetaka awe single maza ni nani kwa mfano......yaani mtoto umzalishe wewe halafu kumuoa akamuoe nani kwa mfano???..........eti anayejitegemea kiuchumi sijui nini msiiiiiiiiiiiew[emoji57] [emoji57]
Sijui umenielewaje.. sina maana mbaya. Halafu neno incubator halijakaa vizuri, maana yake ni mtu anayefyatua watotoMh!....tumekuwa incubator now...
Baada ya miaka 10 na mim ntafanya ka wew mkuu hiz habr za kuoa n kuzeeshana tu
Umenifanya nicheke kwa sauti[emoji28] [emoji28]Mh!....tumekuwa incubator now...
Bora usipime HIV lakini upime homa ya ini( hepatitis B)Natumaini nyote ni wazima. Natafuta mwanamke atakayenitunuku mtoto (kunizalia).
Awe na sifa zifuatazo:
1. Umri miaka 25-34
2 Anajitegemea kiuchumi
3. Awe tayari kupima afya (HIV)
4. Awe tayari kulea mtoto kwa kushirikiana nami
Sifa zangu
1. Miaka 32
1. Ninajitegemea kimaisha
3. Nipo tayari kupima afya
4. Nipo tayari kulea mwanangu
Nawasilisha
Jamaa anataka kuanzisha hatchery unit!Mh!....tumekuwa incubator now...
Mh!....tumekuwa incubator now...
Cheka tu mwaya....kukwepa tu majukumu ..mana kusema anaejiweza kiuchumi...mara atakaesaidiana nae malezi ya mtotoUmenifanya nicheke kwa sauti[emoji28] [emoji28]
Ha ha haaa....ndio maana yake.Umeuwa Mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nadhani ungesema unatafuta mke wa kuoa kabisa na si mwanamke wa kuzaa naeNatumaini nyote ni wazima. Natafuta mwanamke mwenye hitaji la kupata mtoto kama mimi pia.
Awe na sifa zifuatazo:
1. Umri miaka 25-34
2 Anajitegemea kiuchumi
3. Awe tayari kupima afya (HIV)
4. Awe tayari kulea mtoto kwa kushirikiana nami
Sifa zangu
1. Miaka 32
1. Ninajitegemea kimaisha
3. Nipo tayari kupima afya
4. Nipo tayari kulea mwanangu
Nawasilisha