Mwanamke wa kunitunuku mtoto

Kama ambavyo kuna independent women wanaotaka tu kuzaa na kulea watoto wao.. the same applies to independent men
 
Kuna watu wameshaamua kupambana tu na hali zao. Hawawazi tena ishu ya kuolewa.. bali kupata tu mtoto.
 
Nenda vituo vya yatima kuna watoto awana baba [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
Incubator zipo nyingi tu .....unaetaka awe single maza ni nani kwa mfano......yaani mtoto umzalishe wewe halafu kumuoa akamuoe nani kwa mfano???..........eti anayejitegemea kiuchumi sijui nini msiiiiiiiiiiiew[emoji57] [emoji57]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
 
Incubator zipo nyingi tu .....unaetaka awe single maza ni nani kwa mfano......yaani mtoto umzalishe wewe halafu kumuoa akamuoe nani kwa mfano???..........eti anayejitegemea kiuchumi sijui nini msiiiiiiiiiiiew[emoji57] [emoji57]
wataka wazidi kufungua uzi kuhusu singo maza
 
Kinachonifurahisha Kwa wanawake ukiwaambia ukweli wanakuwa wakali.
Lakini wengi wao wamewekwa nyumba ndogo huko mitaani na wanazalishwa vile vile
Bad enough hata Yule aliyezaa na mume wa mtu anategemea kuwa na mume wake peke yake.
Huwa wanafurahisha sana
 
Asilimia kubwa wanataka tuwarubuni halafu baadae kulia lia wameumizwa
 
Basi nimekosa fursa kwakua sijitegemei kiuchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…