Mwanamke wa kuoa anahitajika haraka ili kuanza maisha tukiwa mume na mke katika ndoa takatifu inayo mpendeza Mungu

Anahitajika haraka sana? Mhhh!! Wewe subiri kwanza Yesu afufuke.

Awe mweupe? Miss chaga, miss natafuta mko wapi?
 
Ukipata uje na mrejesho mkuu, nakutakia kila la kheri.
 
Wasomi wasumbufu muwe mnashusha viwango vya elimu bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…