Mwanamke wa kuoa

dmasoko

Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
5
Reaction score
0
Natafuta mwanamke wa kuoa, seriouly aniiibox for more info
 
kwenye hili jamvi utavua wengi kulikoni matarajio yako................................ingawaje nilifikiri ungeliwaelezea kidogo juu ya wasifu wako...............kuhamsha hisia zao pia............
 
kwenye hili jamvi utavua wengi kulikoni matarajio yako................................ingawaje nilifikiri ungeliwaelezea kidogo juu ya wasifu wako...............kuhamsha hisia zao pia............

hapa tupo pamoja.......
 
Weka mambo yako hadharani ili wanaokidhi vigezo wajaribu bahati zao.
 
heri bwana tuvae shela ngoja niku outbox
 
unataka kuoa!! nnawadada nawaozesha ! nawatoa sumbawanga ! wa kila auina ww tu na roho yako!
 
mmmh biashara matangazo isije ukawa unataka mwanamke wa kujifurahisha maana ni wengi
 
Natafuta mwanamke wa kuoa, seriouly aniiibox for more info
Mimi nilijaribu kutafuta mchumba kupitia JF sikuweza kufanikiwa hata kidogo. Niliweka wazi wasifu wangu ikiwa ni pamoja na maumbile yangu nyeti, lakini sikupata wa kuni-pm hata mmoja. Anyway yawezekana wewe ukawa na bahati ukafanikisha. Mimi nimeamua kufa bachelor tu.
 
mmmh......ulisema yakoje?...........
 
mmmh......ulisema yakoje?...........
Urefu wa jembe inchi 9 na nusu, jembe lenyewe jipya kabisa ambalo halijatumika hata siku moja. Ila sharti ilikuwa mchumba naye asiwe 'used', nadhani ndiyo maana sikufanikiwa.
 
labda akajaribu mtaani kwetu maana kuna mabinti wanaoniganda kila kukicha na mim sina time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…