Mwanamke wa kuzaa nami ajitokeze

Mwanamke wa kuzaa nami ajitokeze

Mwenyeminazi

Senior Member
Joined
May 24, 2012
Posts
194
Reaction score
67
Mimi ni kijana mtanashati na nimeoa na nina watoto watatu tu.
Mke wangu hataki tuendelee kuzaa anasema hapo ndio mwisho. Mi nataka watoto wengi iwezekanavyo maana uwezo wa kuwalea ninao. watoto wengi ni kwasababu ukoo wetu ni mdogo saana. NAHOFIA UTATOWEKA.

Sasa nimeona mtu ambae anahitaji la mtoto basi anipe mimi hilo Jukumu la kumzalisha tuongeze ukoo wetu. malezi atapata. Ila nae awe na uwezo kido wa kujimudu isije ikawa kila kitu ndio kwangu ataleta migogoro.

Tusingatie pia swala la Tuko wangapi?? ili tutulizane nae
 
Kwahiyo kigezo chako ni awe na uwezo kidogo wa kujimudu basi?
 
Na wale wanawake wanane ambao wamekung'ang'ania kwa nini usizae nao hao? Au unahitaji wengine zaidi? Loh! jamaa una nguvu za farasi wewe!
 
wanawake wa siku hizi, wengi wetu ni kama huyo mke wako.

Ungetaka mwanamke wa kumpenda na kumjali ungepata, ila wa kuzaa nae... endelea kumtafuta ujaze ukoo baba!
 
ukisema una uwezo una maana gani? atapata nyumba, kausafiri, watoto shule je? mimi nina mdogo wangu cousin yangu hebu jibu swali langu halafu nitakuPM lol! na unataka watoto wangapi kwake?
 
unataka awe na uwezo wa nini wakati wewe kwa uwezo ndio mwenyewe
 
Mimi ni kijana mtanashati na nimeoa na nina watoto watatu tu.
Mke wangu hataki tuendelee kuzaa anasema hapo ndio mwisho. Mi nataka watoto wengi iwezekanavyo maana uwezo wa kuwalea ninao. watoto wengi ni kwasababu ukoo wetu ni mdogo saana. NAHOFIA UTATOWEKA.

Sasa nimeona mtu ambae anahitaji la mtoto basi anipe mimi hilo Jukumu la kumzalisha tuongeze ukoo wetu. malezi atapata. Ila nae awe na uwezo kido wa kujimudu isije ikawa kila kitu ndio kwangu ataleta migogoro.

Tusingatie pia swala la Tuko wangapi?? ili tutulizane nae

Mtafute Mkuu Tegelezi ana Mpwa wake anatafuta wa kuzaa nae!
 
Kwahiyo tender ya kuzidisha ukoo umepewa wewe...mna mambo nyie.
 
Back
Top Bottom