Mwanamke wa kuzaa naye mtoto

Roosevelt22

Member
Joined
Sep 28, 2022
Posts
11
Reaction score
11
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana wa kitanzania, miaka 36, dini mkristo, elimu Msc, kazi mfanya biashara.

Natafuta mwanamke ambaye ninaweza kuzaa nae mtoto au ambae anahitaji kuzaa mtoto. Matunzo yote ya mtoto ni juu yangu mimi kama baba.

NB: Ambae yuko tayari kuzaa mtoto siitaji demu. Kama kuna ambaye yupo tayari plz njoo inbox.
 
Kila la kheri mkuu naona vigezo sio vingi.
 
Kila lenye kheri
 
Nani kakwambia mke anatafutwa mtandaoni!!!??? Kila lakheri
 
Hujui kutongonza ? NENDA sinza wanawake wamejaa hawawezi kataa kukuzalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…