Mwanamke wa kuzaa naye

Mwanamke wa kuzaa naye

Kaitaba

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2009
Posts
915
Reaction score
54
Habari zenu, natafuta mwanamke wa kuzaa naye watoto wawili wa kiume tu, sababu nitazitoa baadae. ila sitaki tuoane, sitaki tukae pamoja kama mume na mke, kila mmoja akae kivyake.

Msisahau kutuletea picha ya kagret thinker kajunia.

hahahaha! Usijali, tena katafata akili zangu.

Nitumie Private massage contact zako, niko seriouse

sawa. Mi mwenyewe nipo serious hadi najiogopa.

Umemwandikia kigogo mwenzio.

hahaha! Kwanini jamani? Nimemwandikia kiswahili nashangaa hajibu.

Habari zenu, natafuta mwanamke wa kuzaa naye watoto wawili wa kiume tu, sababu nitazitoa baadae. ila sitaki tuoane, sitaki tukae pamoja kama mume na mke, kila mmoja akae kivyake.
Tutakutofautisha vipi wewe na beberu la mbuzi ambalo linaingia kwenye kundi lolote na kuzaa kisha kutokuwa responsible kwa mke wala mtoto??

Tutakutofautisha vipi wewe na beberu la mbuzi ambalo linaingia kwenye kundi lolote na kuzaa kisha kutokuwa responsible kwa mke wala mtoto??
Nataka watoto, sio mke, sababu nitazitoa kwa huyu tukayeelewana pamoja, ina maana kuwa nitabeba majukumu yote kama baba, baada ya miaka 7, watoto nitakaa nao mimi.ninacho maanisha hapa ni kuwa huyo nitakayezaa naye, atakuwa na uhuru wa kuolewa kokote baada ya kunizalia hao watoto wawili.

Back
Top Bottom